Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akifuatilia ufunguzi wa mikutano ya Jukwaa la Juu la Kisiasa la Ngazi za Mawaziri chini ya Umoja wa Mataifa inayofanyika New York nchini Marekani. Kulia kwakeshoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. John Jingu . Waziri Mpango anatarajiwa kuwasilisha taarifa ya Tanzania kwa mara ya kwanza ya Mapitio ya Hiyari ya Utekelezaji wa Malengo Endelevu.
MBUNGE KAWAWA AKABIDHI DAWA NA VIFAA TIBA VYA MILIONI 14.5 ZAHANATI YA
LUANGANO
-
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, Vitta Rashid Kawawa, amekabidhi
dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 14.5 kwa Zahanati ya
Luan...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment