Habari za Punde

Wamiliki wa Viwanda Nchini Watakiwa Kukuza Uzalishaji Kukidhi Mahitaji ya Soko la SADC


 Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na wamiliki wa Viwanda  Jijini Dar es Salaam kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali ili kuweka mazingira wezeshi ya ushindani kwa wamiliki hao wa Viwanda.


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda  na Biashara Bw. Ludovick Nduhiye akizungumza wakati wa mkutano wa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bishungwa na  wamiliki wa viwanda  Jijini Dar es Salaam kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali ili kuweka mazingira wezeshi ya ushindani kwa Viwanda hapa nchini.


Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini (CTI)  Bw. Leordiga Tenga akizungumza wakati wa mkutano  wa Waziri wa  Viwanda na Biashara Mhe.  Innocent  Bashungwa na wamiliki wa Viwanda Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Viwanda Bw. Leo Lyayuka akizungumza wakati wa wa Waziri wa  Viwanda na Biashara Mhe.  Innocent  Bashungwa na wamiliki wa Viwanda Jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya wamiliki wa  Viwanda wakifuatilia mkutano na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali ili kuweka mazingira wezeshi ya ushindani kwa wamiliki hao wa Viwanda.
Picha na Maelezo Dar es Salaam


Na. Mwandishi Wetu - Maelezo                                                                                                               
Serikali yawahakikishia wamiliki wa Viwanda nchini kuwa itaendelea kuweka mazingira wezeshi yataka yo imarisha ujenzi wa uchumi wa viwanda kwa kuweka mipango mahususi ya kuongeza uzalishaji ili kuendana na mahitaji ya Masoko katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Akizungumza na wandishi wa habari leo Julai 28, 2019 Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa wamiliki hao wanapaswa kuendelea kukuza uwezo wa uzalishaji bidhaa ilikuendananasokolililopokatikajumuiyahizo.
“TunayokilasababuyakuhakikishakuwaSerikalinawamilikiwaViwandatunawekamikakatiyapamoja Ili kuwekamazingirawezeshiyatakayokuzasektayaviwandahapanchini”.AlisisistizaMheBashungwa.
AkifafanuaamesemakuwasektayaViwandainasaidiakuzalishaajiranakuchangiakatikakuwezeshamaendeleoendelevukwakuimarishaviwandavilivyoponavipyakwamaendeleoyanchiyetu.
AkizungumziachangamotozasektahiyoMheBashungwaamesemakuwajukumu la SerikalinikuchukuachangamotozawamilikiwaViwandanakuzitafutiaufumbuzikwaharakailidhamirayaSerikaliyakujengauchumiwaviwandaitimiekwawakatikwamaslahimapanayaTaifanawamilikiwaviwandahivyo.
“SerikaliyaAwamuyaTanonaRaiswetumpendwaDkt John PombeMagufuliinatoakipaumbelekatikakuhakikishakuwadhanayaujenziwaViwandainatekelezwakwavitendokwakujengamazingirawezeshikatikasektahiimuhimukwaujenziwaviwanda” AlisisitizaMhe.   Bashungwa.
MkutanowaWaziriwaViwandanaBiasharaMheBashungwaumelengakuimarishasektayaviwandahapanchinikwakuwekamikakakatiitakayowawezeshakumuduushindaniwabidhaakutokazanje.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.