Habari za Punde

Ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa DASC Jijini Dar es Salaam Nchini Tanzania.

VIONGOZI wa Serikali kutoka kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman MakunguRais Mstaa wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Amani Karume, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu Kiongozi wa Tanzania Balozi John Kijazi, wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza mkutano wa 39 wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa SADC katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo na kukabidhiwa Uwenyekiti wa SADC.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.