Habari za Punde

Kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yatembelea Manta Resort , Makangale


MAKAMU Mwenyekiti wa kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Hamida Abdalla Issa  (kulia) akicheza bao na mmoja ya wajumbe wa kamati hiyo, katika sehemu ya kupumzikia ya chumba cha chini ya bahari kilichoko  katika hoteli ya Manta Resort Makangale.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.