Mshambuliaji wa Timu ya Malindi Suleiman Kassim Selembe akijiandaa kuzuia mpira huku beki wa Timu ya MCC akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika Unaofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Timu hizo zimemaliza kipindi cha kwanza kufungana mchezo unaofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
CHITALE AHUBIRI UMOJA MKUTANO MKUU WA WADAU MADALE GROUP
-
*Na John Bukuku – Dar es Salaam*
*Kaimu DAS wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Salumu Chitale, aliyemwakilisha Mkuu
wa Wilaya, ametumia Mkutano wa Umoja wa W...
38 minutes ago
0 Comments