Habari za Punde

Mchezo wa Kombe la Shirikisho Kati ya Malindi na MMC Kutoka Nchini Somali Unaofanyika Jioni Hii Uwanja wa Amaan Zanzibar.wa

 Wachezaji wa Timu ya Malindi na MCC Kutoka Nchini Somalia wakiingia Uwanja wa Amaan kuaza mchezo wao wa Awali wa Michuano ya Kombe la Shirikisho unaofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Jioni hii.
 Kikosi cha Timu ya Malindi Sport Club ya Zanzibar 
 Kikosi cha Timu ya MCC Kutoka Nchini Somalia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.