Habari za Punde

Mchezo wa Kombe wa Shirikisho Kati ya Malindi na MCC Umemalizika Kwa Bila Kufungana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Wapenzi wa mchezo wa Mpira wa Miguu Zanzibar wakifuatilia Michuano ya Kombe la Shirikisho Kati ya Timu ya Malindi na MCC kutoka Nchini Somali mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Timu ya MCC ni mwenyeji wa mchezo huo baada kuomba shirikisho la Mpira Afrika CAF.Uwanja wa Amaan utakuwa ni Uwanja wake wa ugenini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.