Habari za Punde

MRAJISI wa Mahakama ya Ardhi Zanzibar Abdull-Nassir Hikman akizungumza katika  mkutano wa kukusanya  maoni juu ya marekebisho ya sheria ya umiliki wa ardhi Namba 12 ya mwaka 1992 na sheria ya mahakama ya ardhi namba 7 ya mwaka 1994, huko Chake Chake Pemba.
KATIBU wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar Kubingwa Mashaka Simba, akifungua mkutano wa  kukusanya  maoni juu ya marekebisho ya sheria ya umiliki wa ardhi Namba 12 ya mwaka 1992 na sheria ya mahakama ya ardhi namba 7 ya mwaka 1994, huko Chake Chake Pemba.
WASHIRIKI wa Mkutano wa kukusanya maoni juu ya marekebisho ya sheria ya umiliki wa ardhi Namba 12 ya mwaka 1992 na sheria ya mahakama ya ardhi namba 7 ya mwaka 1994,  wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji washeria hizooo huko Chake Chake Pemba.

(Picha na Abdi Suleiman -Pemba )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.