NAIBU waziri wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Chumu Kombo Khamis Akimkabidhi vitendea kazi, Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid ikiwa ni utendaji kazi kwa niaba ya wakuu wa Wilaya nne za Pemba, mara baada ya kuzinduliwa kwa kamati za Utalii za Wilaya.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid akionyesha vitendea kazi kwa ajili ya Kamati za Utalii za Wilaya nne za Pemba, mara baada ya kukabidhiwa kwake na uongozi wa Wizara ya Habari, kulia ni Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dr Abdallah Mohamed Juma .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment