Habari za Punde

Wananchi Wilaya ya Mkoani watoa maoni yao marekebisho ya sheria ya umiliki wa ardhi Namba 12 ya mwaka 1992

 BAADHI ya wananchi wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa sheria  umiliki wa ardhi Namba 12 ya mwaka 1992 na sheria ya mahakama ya ardhi namba 7 ya mwaka 1994. huko katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Tume ya Kurekebisha sheria Zanzibar Jaji Mshibe Ali Bakari, akitoa ufafanuzi kwa wananchi wa Wilaya ya Mkoani, juu ya utoaji wao wa maoni kwenye marekebisho ya  sheria ya umiliki wa ardhi Namba 12 ya mwaka 1992 na sheria ya mahakama ya ardhi namba 7 ya mwaka 1994,(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.