Habari za Punde

Watoto na Vijana Wakisherehekea Sikukuu ya Eid El Hajj Katika Ufukwe wa Bahari ya Forodhani Zanzibar.


Watoto kutoka sehemu mbalimbali wakifurahia na kusherehekea Sikukuu ya Eid El Hajj katika ufukwe wa Bahari ya Forodhani Zanzibar kwa michezo mbalimbali na kuogelea kama walivyokutwa na Mpiga picha wetu wakiwa katika ufukwe huo wakati wa jioni.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.