Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Mgeni Rasmin Simba Day Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mashabiki na wapenzi wa timu ya Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Simba Day,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Simba Day kwenye uwanja  Taifa jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wa tatu kushoto ni  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Kulia ni Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji na kushoto ni  Rais wa TFF, Wallece Karia. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mashabiki na wapenzi wa timu ya Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Simba Day,(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.