Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Ahutubia Tamasha la Pili la Utalii Zanzibar.IS MHE. SAMIA AHUTUBIA TAMASHA LA PILI LA UTALII ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti kwa Katibu  Mkuu Wizara ya Habari Zanzibar Bibi Hadija Bakari kwa niaba ya Wizara yake kwa  kufanikisha  kufanikisha Tamasha la pili ya Utalii Zanzibar lililofanyika Jana usiku Park Hyatt Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti kwa Katibu  Mtendaji wa kamisheni ya Utalii Zanzibar.Dkt.Abdallah Mohamed  kwa  kuweza kufanikisha Tamasha la pili ya Utalii Zanzibar lililofanyika Jana usiku Park Hyatt Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasan akimkabidhi Cheti Mwakilishi wa Kampuni ya Gallery Ndg. Jaffery wakati wa hafla ya Tamasha la Pili la Utalii iliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Park Hyyat Jijini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasan akimkabidhi Cheti Mwakkilishi wa Kampuni ya Watembeza Watalii Zanzibar( Fisherman Tour ) wakati wa hafla ya Tamasha la Pili la Utalii iliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Park Hyyat Jijini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya Tamasha la pili ya Utalii Zanzibar lililofanyika Jana usiku Park Hyatt Zanzibar.
Picha na OMR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.