Habari za Punde

Msanii wa Bongo Flava Ali Kiba Apagawisha Katika Hafla ya Miaka 6 ya Mgahawa wa Six Degrees South Shangani Zanzibar.

Msanii wa Kizazi Kipya Bongo Flava King Kiba akipanda jukwaani wakati wa hafla ya kuadhimisha Miaka 6 ya Mgahawa wa Six Degrees South Shangani Jijini Zanzibar, zilizofanyika jana usiku na kuwapigawisha Wananchi na Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.
Msanii wa Bongo Flava King Kiba akitowa burudani wakati wa hafla hiyo ya kuadhimisha miaka 6 ya Mgahawa wa Six Degrees South Zanzibar, akiwapagaisha Wananchi na Wageni waliohudhuria hafla hiyo jana usiku. 








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.