Habari za Punde

Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar Yarindima Katika Uwanja wa Mao Zedong

Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar umekuwa mkombozi wa Michuano mbalimbali ya mchezo wa mpira katika visiwa vya Zanzibar, kupunguza uhaba wa viwanja na kuweza kufanyika michezo miwili katika  viwanja hivyo, kama inavyoonekana pichani michezo hiyo ikiendelea kwa mechi mbalimbali za Ligi za Daraja la Kwanza na ligi kuu ya Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.