Habari za Punde

Mkutano wa CPA Ukiendelea Katika Ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Zanzibar.

Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Tawi la Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said akiwasilisha Mada kuhusiana na Dhana ya Teknolojia  katika kuimarisha Demokrasia kwenye mkutano wa 50 wa CPA unaoendelea Hoteli ya Madinat Al  Bahr Mbweni Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Msellem akishiriki Kikao cha Jumuiya ya chama cha Makatibu mezani  katika mkutano wa CPA unaoendelea katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni
Mbunge kutoka Bunge la Mauritius Verasingham Vasedavackaria akifafanuabaadhi ya hoja za wajumbe wa mkutano wa Chama cha Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaofanyika Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni
Baadhi ya wajume wanaoshiriki mkutano wa 50 wa Chama cha Jumuiya ya Mabunge ya Madola Kanda ya Afrika wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo unaofanyika Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni
Baadhi ya wajume wanaoshiriki mkutano wa 50 wa Chama cha Jumuiya ya Mabunge ya Madola Kanda ya Afrika wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo unaofanyika Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni
Kiongozi wa Chama cha upinzani katika Bunge la Ghana Hanna Iddrisu akitoa mchango wake kwenye mkutano wa 50 wa Chama cha Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaoendelea Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni.
Picha na Abdalla Omar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.