Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumzana Mtawala wa Ras Al Khaimah leo. Akiwa Katika Ziara Yake UAE.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mtawala wa Ras Al Khaimah. Sheikh Saud Bin Saqr Alqasimi, alipowasili katika makaazi yake Ras Al Khaimah, kwa mazungumzo leo.23/9/2019, akiwa katika ziara yake ya wiki moja. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika mazungumzo na Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh Saud Bin Saqr Alqasimi, alipofika katika makaazi yake Al Dhait Raa Al Khaimah,wakati wa ziara yake ya wiki moja ilioaza leo.23/9/2019.

Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliofuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Ras Al Khaimah, wakifuatilia mazungumzo hayo na Mtwala wa Ras Al Khaimah Sheikh Saud Bin Alqasimi, yaliofanyika katika makaazi Al Dhait Ras Al Khaimah, leo 23/9/2019.
Ujumbe wa Mtawala wa Ras Al Khaimah wakifuatilia mazungumzo hayo katika ukumbi wa makaazi ya Mtawala wa Ras Al Khaimah yaliofanyika leo, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Ras Al Khaimah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh Saud Bin Saqr Alqasimi,baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika Makaazi ya Mtawala Ras Al Khaimah leo.    
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh Saud Bin Saqr Alqasimi,wakati akipokea zawadi akikabidhiwa na mwenyeji wake,baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika Makaazi ya Mtawala Ras Al Khaimah leo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mtawala wa Ras Al Khaimah. Sheikh Saud Bin Saqr Alqasimi, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Mtawala Ras Al Khaimah leo.23/9/2019.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.