Habari za Punde

Waandishi Kisiwani Pemba Watakiwa Kutumia Lugha Sahihi.

NAIBU waziri wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe.Chumu Kombo Khamis akizungumza na waandishi wa habari wa Serikali, juu ya utumiaji sahihi wa lugha ya kiswahili katika vyombo vyao.
BAADHI ya waandishi wa habari wa vyombo vya Serikali Pemba wakifuatilia kwa makini mkutano wa Naibu waziri wa Wizara ya habari juu ya matumizi sahihi ya lugha ya Kiswahili katika Vyombo Vyao
MWANDISHI wa habari kutoka ZBC Pemba Raya Ahmada, akichangia jambo katika kikao kilichowakutanisha waandishi wa habari  na viongozi wa Wizara hiyo Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.