Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Atoa Pole Kwa Familia ya Mkuu wa Majeshi na Familia leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Nelson Mabeyo, mtoto wa Mkuu wa Majeshi nchini, Generali Venance Mabeyo, nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam, Septemba 24, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati alipokwenda kuhani msiba wa mototo wa Mkuu wa Majeshi , Nelson Mabeyo, Msasani jijini Der es salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole,  Tina  Mabeyo, Mke wa Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati alipokwenda nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi, Nelson Mabeyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali, Venance Mabeyo wakati alipokwenda nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi, Nelson Mabeyo, Septemba 24, 2019. Kulia ni Jaji Mkuu waTanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma na kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.