Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein Nchini UAE leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, alipowasili katika makaazi yake leo kuhudhuria utiaji wa saini na Mfuko wa "Khalifa Fund " na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika makaazi yake leo Abu Dhabi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu.Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji wa saini kati ya Mwakilishi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar. Mhe Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na Mwenyekiti wa Mfuko wa "Khalifa Fund"Sheikh Hussain Ali Nowais,kwa niaba ya Serikali ya UAE.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Umoja wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE ) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, baada ya hafla ya utiaji wa saini uliofanyika katika makaazi yake Mjini Abu Dhabi leo. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake kushoto Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Umoja wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE ) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, na Mwenyekiti wa Mfuko wa "Khalifa Fund" Sheikh.Hussain Ali Nowais,na kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.