Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Atembelea Maonesho ya Bidhaa za Wajasiriamali Wanawake Katika Ukumbi wa SUZA wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu leo.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Viongozi wa UWT alipowaili katika viwanja vya Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Tungua kwa ajili ya hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar, kushoto Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa.Bi.Thuwaiba Editon Kisasi.Hafla hiyo imefanyika leo 19-10-2019.  
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya maonesho ya Wajasiriamali Wanawake kuonesha Bidhaa zao kushoto Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa.Bi. Thuwaiba Editon Kisasi na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Bi. Hamida Mussa Khamis. 
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi  wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake wakati wa Ufunguzi wa hafla ya Kongamano la Wajasiriamali Wanawake,lililofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa.Bi.Thuwaiba Editon Kisasi wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake wakati wa Ufunguzi wa hafla ya Kongamano la Wajasiriamali Wanawake,lililofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.

MKE wa Rais wa Zanzibar. Mama Mwanamwema Shein,(katikati) akimsikiliza Mfanyakazi wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar.(ZSTC) Farida Othman. Akitowa maelezo za bidhaa zinazozaliwa na Shirika hilo wakati wa maonesho ya Wajasiriamali Wanawake, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mama Asha Sulein Iddi na kulia Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa.Bi.Thuwaiba Editon Kisasi
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mama Asha Suleiman Iddi wakifurahi jambo wakati wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake,yaliofanyika katika ukumbi Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu leo. 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mama Asha Suleiman Iddi wakipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar, wakati wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake,yaliofanyika katika ukumbi Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu leo. 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mama Asha Suleiman Iddi wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Bodi ya Mapato Zanzibar, wakati wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake,yaliofanyika katika ukumbi Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu leo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.