Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA SUMBAWANGA –KANAZI KM 75 PIA AFUNGUA MIRADI YA MAENDELEO NKASI MKOANI RUKWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Kanazi Mkoani Rukwa. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kanazi mara baada ya kufungua barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Kanazi Mkoani Rukwa. 
Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli watano kutoka kulia walioshika utepe, Wabunge wa mkoa wa Rukwa, Kamati ya Miundombinu, Mawaziri, akikata utepe kufungua barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Kanazi mkoani Rukwa. 
Sehemu ya Barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami kama inavyoonekana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya chumba cha hospitali ya Wilaya ya Nkasi mara baada ya kuweka jiwe la msingi.
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakikaguagril la dirisha la mojayachumba  chahospitaliyaWilayayaNkasimarabaadayakuwekajiwe la msingi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kituo cha Afya cha Nkomolo Nkasi mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, Waziri wa Tamisemi Mhe.Selemani Jafo, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugora, Mbunge wa Nkasi Mhe.Ally Keissy, akikata utepe kuashiria ufunguzi kituo cha Afya cha Nkomolo Nkasi Mkoani Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa Nkasi Mhe.Ally Keissy mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.