Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba kuhudhurua hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja hivyo kulia Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili na kupigwa wimbo wa Taifa.kulia Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.Mhe.Omar Othman Khamis na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
No comments:
Post a Comment