Habari za Punde

Kamati Tendaji ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania Yakutana Zanzibar Kuandaa Utaratibu wa Mashindano ya Hayo Kwa Mwaka wa 2020.

 Katibu Mkuu Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Kanali Erasmus Bwegoge akimkaribisha Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan katika Mkutano wa siku mbili wa kuandaa utaratibu wa vikao vya mashindano ya majeshi yanayotarajiwa kufanyika April au May 2020, (kulia) Katibu msaidi Bammata Capten Khatibu Ali Hamdu. Hafla imefanyika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
 Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan (wa tano kutoka kulia) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati tendaji ya Mashindano ya Majeshi Tanzania pamoja na walikwa wa mkutano huo.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.