Muaamuzi wa Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar akizungumza na Kocha Mkuu wa Timu ya Jang'ombe Boys Mohamme Sallah wakati wa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Boys imeshinda mchezo huo bao 2-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Jang'ombe Boys akijaribu kumpita beki wa Timu ya Malindi wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Jang'ombe Boys imeshinda mchezo huo bao 2-0.
Wachezaji wa Timu ya Jang'ombe Boys wakishangilia bao lao la pili wakati wa mchezo wake na Timu ya Malindi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
No comments:
Post a Comment