Habari za Punde

Kazi Zilizofanyika Hadi Sasa Katika Utekelezaji wa Mradi Shamba Darasa


Washiriki wa Mafunzo ya Msasa ya kuhusu Uwezeshaji Mashamba darasa kwa Maafisa  viungo wa mradi kutoka  Wizara na timu za uwezeshaji za wakiwa katika mafunzo 

kwa  vitendo.

Sehemu kubwa ya Watanzania hutegemea shughuli za kilimo kwa ajili ya chakula na biashara na hivyo ni mchango mmoja wapo wa uchumi wa Taifa.

Pia Serikali imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha wakulima wananufaika na mashughuli hizo za kilimo katika maeneo mbali mbali ya nchi yetu kwa kilimo cha mazao tofauti tofauti
Hata hivyo pamoja na juhudi hizo za Serikali bado wakulima wanakabiliwa na changa moto mbali mbali katika utekelezaji wa shughuli zao za kilimo na hivyo kupata wakati mgumu.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokabiliwa na changamoto ya uharibifu wa ardhi ambayo inayoleta athari kwa kilimo hali inayochangia uzalishaji duni wa chakula.
Hali hiyo hutokana na shughuli za kibinadamu zinazofanyika zikiwemo uharibifu vyanzo vya maji na ukataji miti kwa ajili ya kuni au uchomaji wa mkaa hali inayochangia uharibifu wa mazingira.
Kutokana na changamoto hizo, Ofisi ya Makamu wa Rais ambayo inadhamana ya usimamizi wa mazingira inaratibu na kutekeleza Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula (LDFS) hapa nchini.
Moja wapo ya malengo ya mradi huo ni kuboresha mifumo ya ikolojia ya kilimo ambayo itawezesha kuongeza uzalishaji wa chakula na kuchangia kuboresha mazingira katika wilaya husika.
Miongoni mwa wilaya ambazo mradi huo unatekelezwa ni nne za Tanzania Bara ambayo mikoa yake iko kwenye mabano ni pamoja na Kondoa (Dodoma), Mkalama (Singida), Nzega (Tabora) na Magu (Mwanza).
Pia unatekelezwa katika wilaya moja kwa upande wa Tanzania Zanzibar ambayo ni Micheweni (Pemba).
Hivi karibuni Ofisi ya Makamu wa Rais ilitoa mafunzo msasa ya uwezeshaji kuhusu mashamba darasa kwa maafisa viungo wa mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji za wilaya za mradi huo.
Mfunzo hayo yatakuwa msaada mkubwa kwa maafisa hao ambao wataitumia elimu waliyoipata katika kufanikisha uanzishaji wa mashamba darasa katika maeneo ya mradi.
Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wamekuwa wakitekeleza miradi inayolenga kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo kwa kusogeza karibu teknolojia kwa wakulima, lengo likiwa ni kuongeza usalama wa chakula na kuongeza kipato cha jamii.
Hizi ni juhudi za Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais inahusisha uingizaji na matumizi ya teknolojia mpya ikiwemo matumizi sahihi ya mbolea, mbegu zenye ubora, uboreshaji wa nyanda za malisho na utoaji wa huduma za ugani na mafunzo kupitia shamba darasa.
 Hivyo kutokana na mukhtadhari huu juhudi hizi zote zina lengo la urejeshaji wa ardhi iliyoharibika ili iweze kuendelea kuzalisha mazao ya kilimo, mifugo na misitu hapa nchini.
Mratibu wa mradi kutoka Ofisi hiyo, Joseph Kihaule anasema kuwa mradi huo unajumuisha uanzishwaji wa mashamba darasa 100 katika wilaya hizo Tanzania Bara na Zanzibar.

Wawezeshaji wa mradi huo ni Shirika la Kilimo na Chakula Duniani (FAO), Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) naWakalawaTaifawaMbeguzaMiti Tanzania (TTSA)hukuwashirikiwamafunzowakitokataasisimbalimbalizaSerikali.


MiongonimwataasisihizonipamojanaWizarazaKilimo, MaliasilinaUtalii, Maji, MifugonaUvuvi, OfisiyaMakamuwaRais, OfisiyaMakamuwa Pili waRais Zanzibar IdarayaMazingira, WizarayaKilimo, Maliasili, MifugonaUvuvi Zanzibar.

WenginenikutokakatikaHalmashaurizinazotekelezamradihuohukumikoaikiwakwenyemabanoniMkalama (Singida), Micheweni (Pemba), Magu (Mwanza), Nzega (Tabora)naKondoa (Dodoma).

MradihuuumenufaishaWatanzaniakwakupangamipangoyamatumizi bora yaardhiiliyoandaliwaambayoitawasaidiakuwanausimamizi bora wamaliasili, matumziendelevuyaardhinakupunguakwamigogoroyamatumziyaardhinamaliasili.

Aidha, mradihuuumewezeshawananchikupatiwamikopokwenyetaasisizafedha, kuandaamafunzokuhusuupangajiwamatumiziyaardhiyamewajengeauwezowaupangajinausimamiziwamatumizi bora yaardhikatikamaeneoyao.
Pamojanahayo pia mradiumesaidiakatikauboreshajiwahalizamaishayawananchikwamatumiziyataarifazaawalizautafitilakini pia wataalamuwamejengewauwezowauanzishajinauendeshajiwamashambadarasa.

 MiongonimwakazizilizofanyikanikuundwakwaKamatizausimamiziwaMaliasilinaMazingira, KamatizaMipango Bora yaMatumiziyaArdhizavijjijikatikavijijivyotevyamradiisipokuwawilayayaMicheweniambakoKamatizaMipango Bora yaMatumiziyaArdhizashehiahazijaundwa.

Pia yameendeshwamafunzoyaupangajiwamatumiziyaardhikwamaafisawangaziyawilayanavijiji, wajumbewaKamatizaMipangoyaMatumiziyaArdhizavijjiji, HalmashaurizaVijijinabaadhiyawananchinajumlayamaafisanawanavijiji 821 wamepatamafunzohayo.

KufanyaTathminiyautambuziwavyanzovyamajinateknolojiazitakazotumikakupatamajikwaajiliyamatumiziyabinadamu, kilimonamifugokatikavijijivyotevyamradikatikawilayazaMkalama, Nzega,MagunaKondoa.

KuandaaMipangoyamatumizi bora yaardhikatikavijiji 15 kwenyewilayazaMkalama (vijijivitano), Nzega (Vijijivitano), Kondoa (vijijiviwili) naMagu(vijijivitatu). UainishajiwaVipaumbelevyamaeneonamakundiyawatumiajiraslimalikwaajiliyaurejeshwajiwauotowaasilinahifadhiyabioanuaiumefanyikanakukubalikanawadaukatikavijijivyotevilivyoandaamipangoyamatumiziyaardhi.

Mudawakutekelezamradihuunikwakipindi chamiakamitano (2017-2022) nagharamayamradiniDolazaMarekanimillioni 7.156. MfadhilimkuuniMfukowaMazingiraDuniani(GEF) kupitiaMfukowaKimataifawaMaendeleoyaKilimo (IFAD).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.