Habari za Punde

Wanadiaspora Watembelea Maeneo ya Vivutio Vya Utalii Zanzibar.

Mkurugenzi wa Jiji la Zanzibar Ndg.Ali Khamis akiwakaribisha wanadiaspora katika shamba la Viungo mbalimbali (SPICE)walipofanya ziara ya kutembelea shamba hilo lililopo Kitundu Wilaya ya Magharibi A Zanzibar.
Mtembezaji wageni katika Shamba la Kitundu Spice Rashid Ahmada Said akiwaelezea wanadiaspora Matumizi ya Mti wa Mdalasini wakati walipofika katika shamba hilo la Viungo (SPICE)wakiwa katika Ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali Zanzibar.
Mtembezaji wageni katika Shamba la Kitundu Spice Rashid Ahmada Said akiwagawia  wanadiaspora Mbegu za  Mti wa Mdalasini wakati walipofika katika shamba hilo la Viungo (SPICE)wakiwa katika Ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali Zanzibar.
Wanadiaspora wakiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbalimbali za Vivutio vya Utalii Ikiwemo Viungo(Spice)Kitundu na kuangalia Wanyama Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.