Habari za Punde

Maadhimisho ya Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akishiriki katika Matembezi ya Tamasha la Kitaifa la Mazoezi ya Viungo Zanzibar,yalioazia katika viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na Spika wa Barazac la Wawakilishi Zanzibar.Mhe Zuberi Ali Maulid na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar.Ndg. Omar Hassan Omar (King) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan, wakiwa katika matembezi hayo wakipita katika barabara ya kilimani wakielekea Uwanja wa Mao Zedong kumalizia matembezi hayo.
WASHIRI wa matembezi ya Tamasha la Kitaifa la Mazoezi ya Viungo Zanzibar, wakipita katika barabara ya Kariakoo Jijini Zanzibar wakielekea katika Uwanja wa Mao Zedong
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi kutoka Tanzania Bara, Pemba na Wenyeji  Unguja wakipita katika jukwaa la viongozi wakimalizia matembezi hayo ya Kataifa ya Mazoezi yalioazia katika eneo la viwanja vya mnazi mmoja na kumalizikia katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini ZanzibarWASHIRIKI wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar kutoka Jijini Dar es Salaam wa (Dar Jogging) wakiingia katiuka viwanja vya Mao Zedong

MSHIRIKI wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar.Bi. Khadija Khamis (70) kutoka Kikundi cha Maisara Fitness Club (wa kwanza kulia) akiwa na mkoba mkononi akimaliza matembezi hayo ya mazoezi ya viungo wakipita katika jukwaa la Viongozi katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar

WASHIRIKI kutoka Vikundi vya Mazoezi Zanzibar wakishiriki katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar baada ya kumalizia matembezi hayo katika Uwanja huo.mazoezi hayo huadhimishwac Kitaifa kila mwaka Januari Mosi, mwaka huu yameadhimishwa katika Uwanja wa Mao Zedong
VIONGOZI wa Mazoezi ya Viungo Kitaifa Ali Chum na Abubakar Makame wakiongoza mazoezi hayo katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza matembezi hayo yalioazia katika eneo la Mnazi mmoja na kumalizia katika uwanja huo
WASHIRIKI wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakishiki katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
WASHIRIKI wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakishiki katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
WASHIRIKI wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakishiki katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
WASHIRIKI wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakishiki katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
MWAKILISHI wa Vikundi vya Mazoezi Zanzibar Sihaba Mohammed akisoma risala kwa niaba ya Vikundi vya Mazoezi ya Viungo Zanzibar wakati wa hafla ya maadhimisho ya Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar lililofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Mohammed Aboud Mohammed, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wanamichezio wa Vikundi vya Mazoezi ya Viungo Zanzibar, wakati wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Mhe.Said Hassan Said (mwenye fulana nyeusi) akiwa na Washauri wa Rais Mhe. Abdalla Rashid Abdalla, Mhe Abdulraham Mwinyijumbe na Mshauri wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale.Mhe Abdalla Mwinyi Khamis, wakifuatilia hafla hiyo ya mazoezi ya Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi ya Viungo Zanzibar wakati wa maadhimisho ya mazoezi ya Kitaifa yaliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Vyeti vya  Ushiriki wa Vikundi vya mazoezi kutoka Kaskazini Pemba Ndg.Suleiman Hamad, wakati wa maadhimisho ya Tamasha la mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar lililofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Vyeti kwa Washiriki kutoka Tanzania Bara Bi.Salma Masewe kutoka Jogging Dodoma, wakati wa maadhimisho ya Tamasha la mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar lililofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Vyeti kwa Mshiriki wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar Ndg. Abdalla Manyama, wakati wa maadhimisho ya Tamasha la mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar lililofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
WASHIRIKI wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika uwanja wa Mao Zedong (hayupo pichani) wakati wa maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka ifikapo januari mosi
WASHIRIKI wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika uwanja wa Mao Zedong (hayupo pichani) wakati wa maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka ifikapo januari mosi
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.