Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.Mhe Hamad Yusuf  Masauni  Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni (kushoto) na Mbunge wa Jimbo la Manonga.Mhe. Seif Khamis Gulamali wakiwa katika viwanja vya Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mhe. Seif Khamis Gulamali, wakiwa katika viwanja vya  Bungeni jijini Dodoma Januari 28, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.