Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AKABIDHI NYUMBA ZA MAAFISA NA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA GEREZA LA UKONGA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi Januari 23, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Hassan Zungu baada ya utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama ndani ya mojawapo ya nyumba  za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo Alhamisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baada ya kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza leo AlhamisiNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.