Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la
Heshma lililoandaliwa na Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
kundi la 67/19 kabla ya kuwatunuku Kamisheni kuwa Maofisa katika Cheo cha Luteni Usu katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini
Dar es Salaam leo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la Heshma lililoandaliwa na Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 67/19 kabla ya kuwatunuku Kamisheni kuwa Maofisa katika Cheo cha Luteni Usu katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni katika Cheo cha
Luteni Usu Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 67/19
katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
wakivalishana vyeo vipya mara baada ya kutunukiwa Kamisheni katika Cheo cha
Luteni Usu na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John
Pombe Magufuli katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakivalishana vyeo vipya mara baada ya kutunukiwa Kamisheni katika Cheo cha Luteni Usu na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakila Kiapo cha
Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John
Pombe Magufuli mara baada ya kuwatunuku Kamisheni Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakila Kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwatunuku Kamisheni Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la
67/19 wakiondoka katika viwanja vya Ikulu jijini Dar esSalaam mara baada ya kutunukiwa Kamisheni katika Cheo cha
Luteni Usu na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John
Pombe Magufuli.
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF)
Jenerali Venance Mabeyo, Naibu Spika. Tulia Ackson, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, Viongozi mbali mbali wa Jeshi la
Wananchi pamoja na Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchiwa Tanzania (JWTZ) kundi la
67/19 mara baada ya kuwatunuku Kamisheni Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment