Habari za Punde

Wasanii wa Kizazi Kipya Watowa Burudani wWakati wa Uzinduzi wa Tasaf Kipindi cha Pili

Msanii wa Kizazi Kipya Bongo Flava (Konde Boy )  Hamornize  akitumbuiza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kipindi cha Pili Awamu ya Tatu ya Tasaf, akiimbia  wimbo Maalum wa Tasaf wakti wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa ya Julius Nyerere Jijni Dar es Salaam jana 17-2-2020.
Msanii Nguli Kizazi Kipya Mrisho Mpoto akifanya vitu vyake wakati yeye ya Kikundi chake wakitoa Burdani kwenye Uzinduzi wa Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya Tasaf  kwenye Ukumbi wa J.K. Nyerere Mjini Dar es salaam.
Picha na OMPR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.