Habari za Punde

IGP Simon Sirro Achukua Tahadhari ya Corona.


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akinawa mikono kabla ya kuingia ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dodoma leo, kuendelea na majukumu yake, ikiwa ni njia moja wapo ya kufanya mfano kwa vitendo na kusisitiza askari wote kufuata maelekezo yote yaliyotolewa na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na wataalamu wa afya ili kujikinga na virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID –19).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.