Habari za Punde

SMZ Imeridhishwa na Hatua za Ujenzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanzibar Amber Resort Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii katika Kijiji cha Matemwe Zanzibar Amber Resort Ndg. Saleh Mohammed Said, akitowa maelezo kwa Wajumbe wa Timu ya Mamlaka ya Uwezeshaji Miradi na Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) na Taasisi za Serikali iliotembelea Mradi huo kuona maendeleo yake katika Awamu ya kwanza  na kuridhishwa hatua iliyofikia kwa kasi ya ujenzi huo, unaoendelea katika eneo hilo. 

Wajumbe wa Mamlaka ya Uwezeshaji Miradi na Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) na Taasisi za Serikali wakiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Vuai  Mwinyi Khamis wakitembelea Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii katika Kijiji cha Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiangalia moja ya majengo ya mradi huo wakati wa ziara yao 

 MKURUGENZI UwezeshajiMiradiyaUwekezaji Zanzibar (ZIPA) Sharif Ali Sharif, akimfahamishajamboMkurugenziMtendajihoteliya Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohamed Said, kuhusiananaujenziwahotelihiyounavyoendeleahukoMatemweMkoawaKaskaziniUnguja
MKURUGENZI UwezeshajiMiradiyaUwekezaji Zanzibar (ZIPA) Sharif Ali Sharif (kushoto)akiongozananaMkuuwaMkoawaKaskaziniUnguja, VuaiMwinyi, kwendakuangalimaendeleoyaujenziwahoteliya Zanzibar Amber Resort, katikakijiji cha Matemwe.
MKURUGENZI Mtendajihoteliya Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohamed Said, akifahamishajamboMkuuwaMkoawaKaskaziniUnguja, VuaiMwinyi,  baadayakwendakuangaliamaendeleoyaujenziwahoteliya Zanzibar Amber Resort yaMatemwe


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zanzibar Amber Resort Ndg. Saleh Mohammed Said , akizungumza na Ujumbe wa ZIPA wakati walipotembelea mradi huo kuona maendeleo ya ujenzi wa  Hoteli hiyo inayojengwa katika eneo la Kijiji cha Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.