Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kitabu kutoka kwa Mbunge wa Bunge la Zambaia, Mhe. Princess Kasune ambaye anishi na virusi vya UKIMWI baada ya Waziri Mkuu, kuzungumza wakati alipozindua kampeni ya kitaifa ya viongozi wa dini na bunge katika kupunguza unyanyapaa dhidi ya UKIMWI kwenye ukumbi wa Msekwa, bungeni jijini Dodoma, Machi 10, 2020. Kitabu hicho kiitwacho Warrior Princess kimeandikwa na mbunge huyo kwa lengo la kutoa maarifa kuhusu kuishi kwa mtumaini.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment