Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Aongoza Viongozi Kuhani Msiba wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Marehemu Mzee Boniface Simbachawene.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene(kulia), alivyofika kuhani msiba wa Baba Mzazi wa huyo, Marehemu Boniface Simbachawene,Ilazo jijini Dodoma
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni  akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa wizara hiyo,George Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dkt. Damas Ndumbaro akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,Suleiman Mzee akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,William Lukuvi akizungumza na Kamishna Jenerali wa Magereza,Suleiman Mzee wakati walivyofika nyumbani kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(kushoto) kuhani msiba wa Marehemu Boniface Simbachawene aliefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akimpa pole Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), alivyofika kuhani msiba wa Baba Mzazi wa waziri huyo, Marehemu Boniface Simbachawene aliyefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.