Habari za Punde

Tuzingatie Kuosha Mikono Mara kwa Mara Kuepuka Maambukizo ya Virus Vya Corona.

Kujikinga na Maambukizi ya  Virusi vya Corona COVID -19 kuchukua tahadhari za mara kwa mara kuosha mikono yetu kwa sabuni  na maji yanayochurizika  au kutumia Sanitaiza ili  kujikinga na maambukizo hayo. Kama inavyoonekana Kijana huyu akiwa katika zoezi la kuosha mikono yake akiwa katika matembezi yake mtaa wa mji mkongwe eneo shangani katika moja ya maduka katika mtaa huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.