Habari za Punde

Soko Jipya la Kijangwani Jijini Zanzibar.

Mjasiriamali akiwa katika zoezi la kupanga mafungu ya futari ya majimbi katika Soko jipya la kijangwani Jijini Zanzibar, lililoazishwa hivi karibu kwa ajili ya kupunguza msongamano katika maeneo ya soko la marikiti kujikinga na maambukizi ya maradhi ya Corona Zanzibar.
Kama alivyokutwa akipinga mafungu hayo fungu moja kubwa linauzwa shs. 5000/= na Shs.2000/=- kwa fungu dogo katika kiupindi hichi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani bidhaa hiyo hutumia sana kwa futari.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.