Habari za Punde

WAZIRI MKUU ASALI SALA YA EID EL FITRI, KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI DODOMA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kiislam, Mkoa wa Dodoma, wakati akiwasili katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, kuhudhuria Sala ya Eid el Fitri, May 24, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiitikia dua, baada ya sala ya Eid el Fitri, katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma,
Waumini wa Dini ya Kiislamu, waliyohudhuria katika ibada ya sala ya Eid el Fitri, akiitikia dua, baada ya sala, katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya sala ya Eid el Fitri, katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, May 24, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.