Habari za Punde

Waziri Mkuu atembelea karakana ya mitambo ya wakala hao wa Ufundi na Umeme (TEMESA)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia ghala la spea za magari, katika yadi ya TEMESA, jijini Dodoma, May 19, 2020, wakati alipotembelea karakana ya mitambo ya wakala hao wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kukandamizia vipuri, wakati alipotembelea karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mtendaji Mkuu wa TEMESA, Mhandisi Japhet Maselle, wakati alipotembelea karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma, May 19, 2020, alipotembelea karakana hiyo 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kupimia matairi, wakati alipotembelea karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, wakati alipotembelea karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimsikiliza, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, wakati alipotembelea karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa TEMESA, baada ya kukagua karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, baada ya kukagua karakana ya mitambo ya wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), jijini Dodoma, May 19, 2020,
 ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.