Habari za Punde

Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohammed Kada wa 15 wa CCM Kujitokeza Kuchukua Fomu ya Urais wa Zanzibar

Kada wa 15 wa Chama Cha Mapinduzi aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Khalib Salum Mohammed leo amejitokeza kuchukua Fomu ya Urais wa Zanzibar Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui. Aktoka katika viwanja vya Kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume kuomba dua baada ya kukamilisha zoezi la kuchukua fomu leo.

Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed akionesha mkona uliokuwa na Fomu zake za kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kumaliza zoezi la kukabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo hayupo pichani,akiwaonesha Waandishi wa habari hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Kada wa 15 wa Chama Cha Mapinduzi na Mwakilishi wa Jimbo la Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dk.Khalid Salum Mohammed akikabidhiwa Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, akikabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.  

Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed akionesha mkona uliokuwa na Fomu zake za kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kumaliza zoezi la kukabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo hayupo pichani,akiwaonesha Waandishi wa habari hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Z

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.