Habari za Punde

Kada wa 26 wa Chama Cha Mapinduzi Mwanamke wa Tatu Mhe. Fatma Kombo Masoud Ajitokeza Kuchukua Fomu ya Urais wa Zanzibar.

Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Mkoba ukiwa na Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Fatma Kombo Masoud, alipofi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Akiwa Mwanamke wa Tatu kuchukua Fomu za Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Fatma Kombo Masoud akiwa na Mkoba wake wa Fomu ya Urais baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo wakati wa zoezi hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Akiwa Mwanamke wa Tatu kuchukua Fomu za Urais wa Zanzibar.
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Mkoba ukiwa na Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Fatma Kombo Masoud, alipofi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Akiwa Mwanamke wa Tatu kuchukua Fomu za Urais wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.