Habari za Punde

KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI - MWANZA

Mfanyabiashara wa kuuza, kuchana na kuranda mbao wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza akitoa maoni yake kwa Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Kissa Kejo akisikiliza maoni ya Mfanyabiashara wa eneo la Uhuru Jijini Mwanza wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
Afisa Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie akimuelimisha Mfanyabiashara wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu kodi wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.