Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akionesha Fomu zake alizopata wadhamini mara baada ya kuzikabidhi
kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika Ukumbi wa NEC makao
Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
makofi pamoja na viongozi wengine wa Chama cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa
CCM Bara Philip Mangula, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally Kakurwa mara baada ya
kuwasili katika Ukumbi wa NEC katika Makao Makuu ya CCM White House jijini
Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasilisha na kusaini Fomu za maombi ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya kuzijaza Fomu hizo na kupita wadhamini
katika mikoa yote ya Tanzania.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasilisha na kusaini Fomu za maombi ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya kuzijaza Fomu hizo na kupita wadhamini
katika mikoa yote ya Tanzania.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akionesha Fomu zake alizopata wadhamini mara baada ya kuzikabidhi
kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika Ukumbi wa NEC makao
Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wanachama mbalimbali wa CCM waliokusanyika nje ya Ofisi za Makao Makuu ya CCM
White House jijini Dodoma mara baada ya kurudisha Fomu ya kuomba ridhaa ya
kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Sekretariet ya Chama cha
Mapinduzi mara baada ya kuzungumza katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini
Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wanachama wa CCM mara baada ya kuzungumza nao katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama
White House jijini Dodoma. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment