Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa wa
wajumbe kutoka NBS, akiongoza kikao cha Wakuu wa Takwimu kwa nchi wanachama wa
Jumuiya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kilichojadili kuhusu itifaki
ya takwimu za nchi hizo, kikao hicho kilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video
Wajumbe
wa Kikao cha Takwimu cha nchi za SADC
kutoka Tanzania wakiongozwa na Mtakwimu
Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa( wa kwanza kulia), wakiwa katika
kikao hicho kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius
Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa,
akizungumza jambo kwa wajumbe wa kikao cha Wakuu wa Takwimu kwa nchi za SADC
(kama inavyoonekana kwenye picha) kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12,
2020.
No comments:
Post a Comment