Habari za Punde

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Wajitokeza Kumdhamini Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli


WANACHAMA wa CCM, Mkoa wa Kusini Unguja, wakimdhamini mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania, kwa tiketi ya Chama hicho  Dk. John Pombe Magufuli, hafla iliofanyika Dunga Wilaya ya kati Unguja.
MAOFISA wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mkoa wa Kusini Unguja, wakijaza fumu za wadhamini wa mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania, kwa tiketi ya Chama hicho  Dk. John Pombe Magufuli, hafla iliofanyika ofisi za CCM Mkoa huko Dunga Wilaya ya kati Unguja.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.