Habari za Punde

Rais Dk. Shein, Amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar Katika Sala ya Eid Alhajj Iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja Uwanja wa Misuka Mahonda leo.31/7/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiisla katika Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika Uwanja wac Mpira wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo.Kitaifa Sala ya Eid Alhajj imefanyika katika Wilaya hiyo.
Sheikh.Ahmed Ashkina akisoba Hubta ya Sala ya Eid Alhajj baada ya kumalizika kwa Sala hiyo iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali na Dini wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid Al hajj iliofanyika Kitaifa katika Uwanja wa mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo. 
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiwa katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid Al Hajj iliyokuwa ikisomwa na Sheikh. Ahmed Ashkina, baada ya kumaliza Sala hiyo iliofanyika Kitaifa katika Wilaya ya Kaskazini Unguja leo. 
Mkalimani wa lugha za alama akitoa ishara wakati wa kusomwa kwa Hutba ya Sala ya Eid Al Hajj iliofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaaskazini "B" Unguja. 
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiwa katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid Al Hajj iliyokuwa ikisomwa na Sheikh. Ahmed Ashkina, baada ya kumaliza Sala hiyo iliofanyika Kitaifa katika Wilaya ya Kaskazini Unguja leo. 
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiwa katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid Al Hajj iliyokuwa ikisomwa na Sheikh. Ahmed Ashkina, baada ya kumaliza Sala hiyo iliofanyika Kitaifa katika Wilaya ya Kaskazini Unguja leo. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheik. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Mhe. Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambae pia Mgombea Urais wa Zanzibar (CCM) Mhe.Dkt Hussein Mwinyi na (kulia kwa Rais)Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika Uwanja wa mpira wa Misuka mahonda
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika Uwanja wa Mpira Mahonda
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika Uwanja wa Mpira Mahonda
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mtoto Ali Abdalla Hassan, baada ya kumalizikac kwa Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Mpifra wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Masheikh wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika ukumbi wa Halmashauri Wilaya Kinduni, baada ya kumaliza Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda.
MASHEIKH wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini “B” Kinduni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumaliza hafla yake na Masheikh wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.