Habari za Punde

MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA SWALA NA BARAZA LA EID KITAIFA JIJINI DAR ES SALAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya  Eid El-Adh’haa iliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. Wa tatu kushoto ni Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally , Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania na wa tano kushoto ni Sheikh Alhad Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam.
Waumini wa  Dini ya Kiislamu wakiswali swala ya  Eid El Adh’haa kitaifa  kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya  Eid El-Adh’haa iliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. Wa tatu kushoto ni Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally , Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania na wa tano kushoto ni Sheikh Alhad Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam

Waumini wa  Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza katika Swala na Baraza la Eid El Adh’haa kitaifa  kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamanda wa zamani wa Polisi wa Mkoa wa Dar es salaam, Suleiman Kova katika  Swala na Baraza la Eid El Adh’haa  kitaifa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.