Mchezaji wa Timu ya Machomane akijaribu kuzuiya mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong jana, huku mchezaji wa Timu ya Jangombe Boys akijiandaa kumzuiya. katika mchezo huo Timu ya Jangombe Boys imeshinda bao 3-1.
KAMPUNI YA VODACOM WAJITOSA KISARAWE USHOROBA FESTIVAL' KUMSAPOTI' DC JOKATE
-
* Baadhi ya mafuvu ya vichwa ya wanyama yakiwa katika moja ya banda la
vivutio vya utalii na uhifadhi lililopo kwenye tamasha la Kisarawe ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment