Habari za Punde

Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Kura za Maonin Kuwapata Mbunge na Mwakilishi Uliofanyika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu leo.

Wagombea Ubunge na Uwakilishi katika Jimbo la Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Jimbo uliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu SUZA, leo wakati wa zoezi la kuwapata Wagombea Ubunge na Uwakilishi kwa CCM uliofanyika Nchi nzima.  

Mgombea Uwakilishi Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akitetea kiti chake wakati wa kujieleza katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tunguu katika Kura za Maoni uliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Wilaya ya Kati Unguja leo.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Tunguu Zanzibar Ndg. Mzee Mohammed Mzee azungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tunguu  akiomba kura kwa Wajumbe  wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Wilaya ya Kati Unguja leo.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Tunguu Zanzibar  Ndg. Said Mtaji Askari azungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tunguu  akiomba kura kwa Wajumbe  wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Wilaya ya Kati Unguja leo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tunguu Wilaya ya Kati Unguja wakifuatilia maelezo ya Wagombea Ubunge na Uwakilisho wakati wa kura za Maoni kuwania nafasi hizo, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu SUZA.

.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.